Psalms 79:11

11 aKilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako;
kwa nguvu za mkono wako
hifadhi wale waliohukumiwa kufa.
Copyright information for SwhNEN